best horror films

Drag me to hell, The serpent and the rainbow, Shutter, Evil dead 2, 1408.

iyo movie ilifanya nichukiye hotels

That is one scary movie

:D:D:D

Watu wa Final destination wakae wapi?

Exorcism of Emily rose, lights out, jeepers creepers.(first time watching), Texas chainsaw massacre, the ring.

weh! hiyo washana nayo…

Nilikuwa nimesahau jeepers creepers na lights out ,wah hizo movies ni scary kwanza mara ya kwanza kuwatch jeepers creepers si kulala. Lights out ilifanya nilale na torch kwa kitanda for a week

:D:D

https://123movies.pe/movie/drag-me-to-hell-2009/watching/
https://fmovies.pe/watch/drag-me-to-hell-hd-720p.html

wazi kaka

niliwatch IT jana kwa Border Tv kwa kusema ukweli horror movies zenye ziko na watoto huwa ni horror ajabu

kule gachie jina mtoto hutumika kwa mzoga imeivaaa

Watoi basi

tafuteni husk my friend walai hautalala

Husk was a good movie, hizo scarecrow si mchezo

Husk ilinifanya hadi niogope kutembea kwa shamba usiku nikiwa ocha

Try Jig Saw…its a series.Y’ll regrett after watching.Nlishinda nightmares a whole week.

The Exorcist 1 movie ndio babayao

That’s a good movie