Naangalia the big teams kwa epl ikicheza na team ndogo.
ELDER hii kitu huenda aje ebu niangushie tricks brsa
Weka home team Over 0.5 then away team over 0.5 kama 4 ivi then weka 700 returns naeza fika 2k.
huwa naeka gg ama ov25 depending na teams.Team kubwa zikiwa away nakufa na gg
[ATTACH=full]127203[/ATTACH]
Mdogo mdogo tu.Ov2.5 na gg.
so hainaga tricks
na hi story ya sijui week yenye hiyo game inacheza
iyo iko…weeek 1 ni ngumu sana kupata wk 11’17’29na 31.izo weeks ata niweke aje huwa napoteza.When idle i make around 4500 a day
so ni week gani poa
anyweek but izo nimequote ni mbaya kwangu.Others work well with me.Weka Thao kwa account nipee details nikutengenezee ata kama ni 1500 profit within 20minutes.
wacha ni sake kaa float ndugu nione but bro nigetaka unishow how to fish
io kitu ni tricky but mostly mm hueka Chelsea,liverpool,man,Arsenal zikiwa away naweka gg.Zikiwa home naeka ov 2.5.
waah hii game ni tricky sana
very very tricky
Gambling kama huielewi achana nayo, utasoteshwa na muhindi ushangae. Gambling sio biz…
Exactly leo nimemkamua viceroy mbili za wikendi.Sunday ajax ilininyima 145k jana madrid imeninyima 16k.Kwanza ajax ilichoma 86th minute
Muindi apana chesa
:D:D
Kuna mtu atalala njaa hapa na hana fare ya kuenda job kesho
haha brasa hiyo siwes
Noma sana tried today na over 1.5 iko poa