Biashara ya Canter iko aje?

Hizi vitu huhappenia wale watu hununua matatu second hand. Veterans hununua matatu mpya after a few years for a reason. Kuna time hufika mat inaitisha sana. Hapo ndipo veterans huuzia newbies wanapata izo shida umetaja. Biz ya ma3 ni blunder kubwa sana kuingia na second hand. Costs zitakuumiza. Maintenance cost ya bus mpya like any other new car hukuwa very low. Lastly, matatu haipendi mtu wa ofisi 8-5. Crew ikijua ivo umeisha juu wanajua huna time ya kumonitor. Lazima ukuwe a phone call away and be ruthless. Ukichekesha dereva na konda utaumia gathee

It can still work. Let’s say you estimate daily operational costs at 10k (including sacco, bribes za karao, fuel and pesa ya conductor and driver), then add another 10k ya mwenyewe. This means you will need to get a gross revenue of 20k each day to make it a feasible venture. Now let’s assume that the matatu plies on a route where the average fare is 50 bob to and fro. For a 33-seater matatu, each full trip (kuenda na kurudi) will bring in 3300 bob. You will only need six trips to achieve the minimum daily target of 20k. I think this is possible. Ama kuna kitu nimesahau kuongeza?

Biz ya mat za town service hutaka uoperate kama landlord wa nyumba. The driver leases it from you everyday. Anakupee average ya 9k daily without fail. Anafaa kuhakikisha mat ni safi na iko fulltank daily. Ajilipe na ajitafutie donda. Gari mingi za chama huwa wamelipa makarau wa route yao, so issues za polisi ziko but sio often kama sacco yenyu iko sawa. You must be readily available usipewe hekaya za ufala. Lastly and most important, you MUST be ruthless. Hii industry you must be a little crazy juu unadeal na ndume wenzako. Watakuchukia but you are there to make money, not friends.

By the way dere ba dondaa could earn more than you the owner of the mat…Wakishajua 9-10k yako na full tank iko…they then work for their own pay.Assume the 6 trips zinaisha kitu saa kumi…the rest of the trips hadi wafunge ni pesa yao na hiyo ndio huwa githaa ya peak…well hii ni biz ya watu roho juu

Hiyo ruthlessness sio poa,my friend alinunua mat akaiweka Moline Sacco,then anataka awe akijiendeshea…aliona moto…gari inanyimwa line na saa hiyo ashatoa fee zote za sacco…kwenda kuzusha akaambiwa awachie vijana waendeshe.Akataa,aliwacha gari kwa laini stage ya Nakuru siku moja ikijazwa…ikajaa kuitwa apeleke watu Nairobi gari haikuguruma…haraka haraka wakabadilisha abiria rafiki yangu akijaribu weee ngoja gari sio baya itaenda…wajinga sijui walifanya engine yake nini…gari ilitolewa hapo na breakdown…Box KCM iko kwake juu ya mawe.hadi apate doo za engine ingine…Rindi ya watu wa matatu wachana nayo,ukifikiria 10 miles ahead washakuchorea 100miles

Hiyo ni kawaida. That’s why I prefer town service. Bora wamefikisha targets zako, you shouldn’t care what extra they earn. Wako na watoto pia. Ukianza kuwahesabia trips ndio utaumia juu mtakosana ukiwamonitor kama watoto. Operate kama unalease gari kwao. Simple. Wewe wakikulipa pesa yako na wameet conditions zako, you shouldn’t really care what they do. Wanaweza kuwa wamesota waamue kuenda trips hadi late night, it is upto them bora 9k yako na gari safi zikuwe.

Don’t confuse ruthlessness na kukosea watu heshima. Big difference. Halafu mbona ubuy matatu na ujiendeshee anyway?? It doesn’t even make sense. It is not worth the time if at all unaweza afford kubuy matatu in the first place. Crew yako ikifikisha target, gari ikuwe safi, ilale ikiwa fulltank, why else should you care?? How they choose to achieve your target is upto them, sio kuanza kuhesabia mtu routes zenye alienda etc. Usiende kuonyesha crew kazi yao, just make sure they pay you wajue ile mbinu watatumia. Ukiheshimu watu watakuheshimu pia. Ukipea mtu gari mpee freedom ya kudecide ni route gani ataenda, etc as long as anakulipa pesa yako na hizo routes ni za hiyo sacco.

8ft by 1. 
[ATTACH=full]226660[/ATTACH][ATTACH=full]226659[/ATTACH]

Jaribu hiyo biashara…utaleta hekaya hapa

@M2Random have you ever owned a matatu,wacha wenye hio biashara @Theuri wa kigogoine walete mawaidha,mimi yangu ilinichoma .

Never own a matatu, canter or buroti maguta maguta

True. The problem with business as a couple ni marital issues (which everyone has at one point or other) inawezaanza kuingia biashara. Currently kuna ile ongoing case of the husband and wife team that owned a club at Ridgeways. Ati the wife forged docs to take it over.

You would rather have your own business and the wife her own business

Imagine the place was closed down out of that,it used to be my watering joint

You will lose money
You will lose your friends
You will lose your peace
If you can’t do biz alone then as a group hamtaweza.
Biashara ya barabarani iko na wenyewe. You will be baptized by fire before the brotherhood accepts you.

Unajua mahesabu ya time value for money? Mambo ya risk na returns? Usifanye biashara bila izo mahesabu

And that was a solid business with solid income. If I remember correctly, it was bringing in about 18 birrions per month. Enough to make you and your kids live like kings. But marital issues derailed this sweet gravy train.

She was not even married to the guy…he was just sexercising with her…Do you mean 18 mirrions per month…kama ingekuwa 18 birrions ata Uhuru angekuwa interested…Altogether a good biz went down

I managed my uncle’s two mats nikiwa university. By managing I mean hiring dere, kupeleka garage and everything at a fee of course. Alikuwa mtu wa ofisi and I was the available ninja full-time. Wakati alienda majuu for a while his business survived perfectly and he found his account bubbling with money.

Shida ya buroti ni gani Theuri?? Kama unataka kujenga say in a controlled development area?

Biz ya canter na matatu wachia uncouth and illiterate mungich who have never stepped in any school. Think smart and bigger.