Bibi ya wenyewe is a no go zone

Ata Bibi ya beshte yako akue na matako kilo ngapi achana na yeye.

 ghaseer :D:D

Niliona huyo jamaa alichapiliwa misumari kwa kichwa. Kuna watu wanyama huku nje

wah this is absurd…he didnt kill anyone!!!