Biopsy

HEHEHEHEHE sifungi,
mimi najua vile hekaya inaisha

na msiniombe spoilers but mtaisha na kicheko

Spoiler alert!

Meria amewahi anaza Hekaya na kusema vile akikumbuka hiyo hekaya analia, halafu unamaliza kusoma hekaya kama unacheka

Meria anakamua nurse after operation

[SIZE=1]aliniambia tukiwa Lambada [/SIZE]

Bwana ES, am already laughing coz of the masaibu

Patia villagers part 2 and 3 speedy before spoilers zianze kutembea

You should consider writing a book about the life and times of meria

naona nikama aliamka akaitisha writing materials na kutoka hapo akakua hekaya master.

On a serious note bwana ES, how many lives have you lived?

Leta part2 speedy before bundles ziishe

I can relate brother @Meria Mata . I have a cousin mwenye alifanyiwa such an operation akakatwa a small tumor around the neck just near the cleavage. The mark is almost fading off. Lakini hapa ufisi nayo…

I thought ulikamua yeye

Malizia nione kama hii lipoma (self diagnosed) itaangaliwa soon

I just admire this man for two things
1.He has eaten some salt already,sisi watu wa kula acidic quma and pizza sijui kama tutafika huko
2.it has been dramatic
malizia hekaya kwanza nimalize kusoma dio niendelee kuwatch game of thrones

akashika huyo nurse akatomba

Hio water melon ilikuwa cancerous and lump of fat

ES, kwani part two inakuja na SGR?

VS, Part 1 iko poa sana…malizia tafadhari.

Fisi ni fisi tu… even at the sight of death bado unawaza onion rings… part 2 ikuje

ES iko sawa
vivid description on point nangoja part 2 vile jirani hungoja mwoman akuwe rude ampe Rko

@Meria Mata is my favorite hekaya giver but hii umama ya kuachia hekaya katikati tutaandamana.

F .
Hi dad

How are you my favorite child, hekaya tamalizia kesho inshallah, make sure you have lots of tissue and handkerchiefs

Kayf halak