ndio hii omwami , naenda kuweka order ya 10k hizo ni kama 118 cans at 84 bob
[ATTACH=full]140887[/ATTACH]
ndio hii omwami , naenda kuweka order ya 10k hizo ni kama 118 cans at 84 bob
[ATTACH=full]140887[/ATTACH]
jisas!!! mimi nasema asante
:D:D:Dtuko pamoja hapa nimeshika tusker za 5k, so far:D:D:D
budget yangu ni ten k mbaya mbaya , after that naomba Tusker wanipatie fridge ya tusker zikae kwa nyumba , kumumunya polepole kama CEO wa EABL :D:D:D:D:D:D .
:D:D:D:D
Alafu unaeka fridge moja kwa trunk ya X6 …I like your wise thinking
[ATTACH=full]140913[/ATTACH]
ii pombe kwani iko page ya ngapi sifiki?
shait! haiko
[ATTACH=full]140949[/ATTACH]
You can consider using mall for Africa to import the same from Amazon takes less time .