Blue Handles kujeni Kitoko

:D:D:D:D, some replies though

Naona sikuwa pekee yangu kuudhika na hao wanaume mashaniqua.

Hehehehe, Huwa haileti shangwe, Hawa ndio metrosexual men in touch with their feminine side.

He he he ufala mutawacha lini?

Mimi nikifika Nakubreez naitisha choma na nakaa kwa table ya driver, tukimaliza naingia bar nakunywa tot mbili chap chap, then lepe mpaka Bungoma.

Peasantry is a burden.

Mokimo na kichwa ya mbuzi

Is it ok to say huu ni ulosi

Nani huku serve, Akinyi ama Ciku? Hapo Kwa tot?

Btw it was a female driver…and if am not wrong shes still on that route

Ni yule madhe yellow yellow? Kuna siku amewahi nibeba, and coincidentally I was the only male in the matatu… mpaka nikaanza kujishuku kama naona mapepo:D

Watoto na wamama ndio wanakuliaga kwa gari

[ATTACH=full]143764[/ATTACH]

Hiyo ndio utamu wapi safari.

Yea she must be the one, yellow thick boned, great driver I must say.