Blueline wears female undergarments prt 2

Heheheee. Mumeona mengi all in the name of getting laid!!

1 Like

:D:D:Dbrare faga…najua ulipiga hesabu ya kusave pesa ya room

1 Like

… Hapo sasa blueline was facing certain death all because of vagina. Mimi husema when the grim reaper comes to visit me with his scythe it better be sharp enough cz i want my death to be swift. Sasa kulikuwa na watu walikuwa wanabisha mlango, wanaambiwa wakwende. Nikaambiwa niketi chini kwa floor majamaa wakabishana na saa hizo hakuna kitu naelewa chochote. Momo ililia mpaka mate ikaanza kutoka kama machozi. What happened next was miraculous, jamaa akaniambie nitoke bedroom niende next room nikatoka na kofi na teke nikaingia sitting room.
Majamaa wakanifuata mimi nikatoka teke kuenda kufungua mlango nihepe hata siku manage kufungua lock ya chini jamaa moja ikanishika nikapiga nduru. Nikaambiwa nikae chini kwa floor. Momo nayo ikaenda kwa balcony ikaanza kuitana watu wakuje kama anapiga nduru. Pia yeye akashikwa akaingizwa ndani ya nyumba. After deliberations between the two bastards momo aliitishwa bra na kata kundu nikaambiwe nivae na nitoke. Hapo ndio blueline aliona ni heri kuvaa kata kundu na bra kuliko kifo or loss of limb. Nikavaa na kutoka kwa nyumba kama nimepewa guard of honour na neighbours na wasee nje ya apartments. Interestingly enough nikapata customers zaidi kila mtu akitaka kuona the fornicator who came out of a fornication session wearing only a bra and a thong rife rife

15 Likes

:D:D:D:D:D hapa mjamaaa ulikuwa under sieke

3 Likes

:D:D:D:D:D:D mimi kwisaaaa

2 Likes

:D:D:D:D:D

1 Like

:smiley: :smiley: sasa biz ulifunga ama uliendelea kujichomea picha kwa macustomers.

1 Like

Sijawahi cheka kama Leo @inspector ngujiri kuja ona ile mikora yako.

1 Like

:D:D:D:D:D

1 Like

ulishikwa na wariahe ukinyandua mbuzi yake:D:D

1 Like

:D:D:D muchamaa leta part 4 ya hekaya venye ulitembea na bra na kata kundu hadi kwa khupipi

1 Like

heka poa

1 Like

[ATTACH=full]122972[/ATTACH]

1 Like

:D:D:D

1 Like

:D:D:D:D na simu na wallet ulipewa ama uliwacha uko

1 Like

:D:D:D:D:D Eti ukakataa nayo? :D:D:D

2 Likes

All shincters came loose. Brakes kwisha!

3 Likes

Or your kids!:D:D:D:D:D

2 Likes

:D:D:D:D:D:D Sikilia mimii.:D:D:D:D:D

3 Likes

Niliziacha huko nililetewa kwa shop after a day