Booked bet

Dakika kumi nipate ama nikose

Burnley na valencia zinakamua nyoka, ndio nikasema hizo odds yake ni stress tupu…

nishakubali kuoga.sina hopes tens

Wadau imejaaaa…barikiweni kwa kunisaidia kukaza

[ATTACH=full]161829[/ATTACH][ATTACH=full]161828[/ATTACH][ATTACH=full]161829[/ATTACH][ATTACH=full]161828[/ATTACH]

Sasa nyonya pesa ya muhindi. Congrats…

Thanks mazee.Leo nimenasa uyo jangili…

Well done man! Next time weka thao uimbe kwa mtaa

[ATTACH=full]161831[/ATTACH]

Stake and win? Congratulations pia!

Natafuta late night GG.

Stake = 2k, thanks pal

Nimekuwa nikipoteza was testing the waters.Nilikuwa nimeweka 200 ikaleta 30k nikaogopa nikaweka 50

Thao inafaa kutoka Kwa winnings. Ama Namna gani?

Leo nimeumia. Kesho pia siku…

pole sana. Tufanyeaje?

Nlisaidia muhindi kujenga mabloti maguta maguta mahali.

I’m waiting for 2 midnight games from South America. As usual, GG.

Saidia mwanakijiji at least kitunguu inuke

bana rusha hizo game hapa nko na kapunch nilikamua muhindi mchana