Breakfast NONO

eish, aren’t you afraid of being accused of genocide?

1 Like

Nani ako na recipe ya Ngunja Matu?

ngonja nipate siesta kidogo nikiamka nitaweka

1 Like

Kama hujawai kula acha tu. Mr. Mureithi won’t take it kindly.

Is it that bad? Kuna dish ingine inaitwa “Gîthogotho”. Mix githeri white and pumpkin leaves, like you’re making múkimo but with only these two ingredients. Ukipea mgeni hio hatawai kuja kwako tena.

3 Likes

Wewe lazima ni mchoyo sana.

Don’t know of that one. Ngoja gutu in short is stewed waru bila nyanya, ongeza maji mingi zikiiva. When they boil ongeza unga ya sembe and make a sembe mix. Trust me mr. Mureithi ukimwambia hio ni supper utapata sweep.

PS. Got a clip on YT

https://www.youtube.com/watch?v=8TA2Z50qjfs

1 Like

Hehehe
…ama two hot slaps…

Not quite. Have never prepared this one, but mum used to. We were that poor.

1 Like

That guy saying it’s his fav food looks ridiculous. When I ate I almost threw up, things were bad from the little I can remember.

ni githogotho ama mukurugucu? Si ni shida hufanya watu wakule nama hiyo? Kwanza ni tamu sana kama hiyo mboga ni ile thabai au hatha…

recipe ya nguja ni vile tu @Web Dev ameeleza lakini si lazima ukose kuweka nyanya…

1 Like

Hiyo sio githeri .haiwezi itwa githeri bila maharagwe.icio Ni bembe.my mum used to Cook for us the boiled maize with mabaki ile ya malenge sema shida

2 Likes

Now that’s the githogotho aka mukuruguchu.

Sema shida.

1 Like

githeri, ama githere, ni mahindi yaliyo chemshwa. maharagwe, ama noe, minji iliyokauka etc huongezwa kwa githeri ili kui-enhance (gucuca). Halafu mabaki ni mboga tofauti na mirenge, kanyuria. other types include hatha etc…

Not being tribal but but the gema have a terrible couisine. Ukioa mmoja itabidi umfunze kupika kwanza

Funny you should say that, Bob Collymore who’s a foreigner said recently there’s no Kenyan cuisine worth talking about. Get off your high pedestal dude.

he should go back to guyana to eat pilau njeeri…

Kama mbaya iitwe mbaya.