breaking news... chebukati!!!

I know, shida ni ya kwamba service provider ni safaricom…
.NASWAD…

Heeeeeee ma!!! Nani hakujui kijana… Very soon utasema ata wewe uretha gitambaya umire kumira

Kwani umecatch aje manager wa pubic region

Nani… I actually feel cheeky… Leo mambo imewaendea mrama kabisa

Tukiwa na nani mi naingia kucheza cricket sa hii
[ATTACH=full]134559[/ATTACH]

keti pale …[ATTACH=full]134567[/ATTACH]

:D:D:D:D:D

Hapana. We, mi sitaki story zako election ata kidogo

Mi si wa papa, but kuna vile nilisikia hio story ya kura nahisi kutapika…

Usitapike…we piga, hata kama ni ya Baba… kitakachozaliwa tutaongisia

Wallahi! Siwezi ata kama napigia Murang’a. Should I mistake or forget and vote, I’ll commit suicide

How? How? How can I vote twice in a year?