Breaking News

Daah nimeona Breaking News nikaja mbio nikajua pale magogoni baba kwenye nyumba hatuko naye tena hapa duniani israel ashafanya yake, kumbe ni kwa jirani!

Hahahahaha lol! Wabongo wangezuka mtaani usiku huu na kufanya sherehe kubwa sana.

Mugabe anaweza kuwa anahusika na huu mpango muovu

Bila ya shaka yoyote ile.

Lakini majitu ya aina hii Mungu uyaweka sana aisee

Huko wanakoelekea Zimbabwe sio kuzuri

Jongwe naona hawezi tens kufanya kitu kama hicho. Hapo naona bi Grace Mugabe ndiye mhusika mkuu. We subiri na utaona

Kwa mlipuko huo hakuna aliyekufa jamani?

Grace hakuwa na sauti kwa wafuasi wa Mugabe na asilimia kubwa walikuwa wakimchukia sana kutokana na vituko vyake.

Kwangu mimi Suspect namba moja ni mke wa Mugabe…bila shaka yeye ndo mastermind wa huu mchezo

NAKWENDA ZIMBABWE BY ROMA

Naona leo ni siku ya watu kukoswa koswa na mabomu.

Imagine kama walengwa wa mashambulio haya ya leo kule Ethiopia na Zimbabwe wangeuawa.

Kuna siku mwamba utakuja ukipuliwe na wale wa Mirerani ngoja tu waje wapishane kauli hao wakubwa!

Kwa huko Zimbabwe naamini kungetokea matatizo makubwa ya kiusalama/unrest, ambayo yangeweza pelekea hata vita.

Mkuu @BAK1
hiii noma hii…

ndio maana kumbe jiwe analindwaa hatareee…

But Why!??

Na kufuatia haya mashambulizi mawili ndiyo ulinzi wake utaongezeka zaidi, lakini anajitakia mwenyewe kwa roho mbaya yake, chuki za kutisha, utekaji wa Watanzania na mauaji ya raia wasio na hatia. Mbona waliomtangulia hawakulindwa kama yeye, KULIKONI!?

duh…Kuna shida hapo!

Dangerous