breaking news

wow, sasa imekuwa story ka kutungana mimba na kiswahili. Mhh, vile thread huchange jamani. Haya basi, niambieni hii na kiswahili sanifu.

I woke up and realised my pillow and mosquito net are pink.

4 Likes

here anything can become anything, it was about betting sasa naona walimu wa kiswahili wameingia

Naona waluhya waswahili kwa hii thread. :D:D

@admin fungulia hawa younglins section ya “peasant problems”