BUYING A 2ND HAND VEHICLE

Hapo atakuwa limited in choice.
Most important things ni kucheck kama gari ni genuine sio ya wizi. Tumia online search and further more kra etc. Be thorough. Fanya inspection ya body uone kama iko na filler and to what extent. Angalia air bags kama zimewai deploy. Engine obviously. Then make sure haupigi shortcuts. Now usifanye hizi vitu pekee yako kama hujawai fanya. Tegemea friend with experience. And magari ni mingi dont be desperate be patient. Wezi huchukua advantage wakiona uko fast and desperate. Almost lost 500k in bomet wen my cuzo was buying the nze. Mtu amezidi amepeana directions shady and changing the meeting point juu anajua mko na cash. Tukaachana tukarudi kericho tukapata gari ingine.
Finally do not buy a car that has been managed on a small budget. The wheels of a car are a big tell off. Lazima ziwe same na ziwe na thread ndio ujue huyo msee ako serious na car maintainance.

Thank you

Kuna place ya inspection pale industrial area, gari huinuliwa na kuchekiwa chini kucheki chasis number, better you spend iyo 30k na gari ichapwe full inspection kama hamjuani na muuzaji.
Kuna vile pia mechanic wanajua kutoanisha iyo place hapo chini ya wiper kucheki kama number imebadilishwa

https://www.youtube.com/watch?v=erncvSyDrAM

Lakini you cannot spend 30k every time unapata gari ime ku interest

Ni sawa. Experience yenye nilipata siwezi advice mtu kubuy gari ya stranger. But anyway people take risks all the time

Do share what you encountered.
But i still believe hata ukipewa referal na a friend it will not lower risks that much. Maybe the risk of stolen vehicles but kujua gari safi itabidi ujue what to look at. I recommend you look at CHRIS FIX channel on youtube on how to buy a used car

Import ni 2nd hand bado…

Hii Mazda ni ya 600K…negotiable

[ATTACH=full]169665[/ATTACH]
[ATTACH=full]169666[/ATTACH]
[ATTACH=full]169667[/ATTACH]
[ATTACH=full]169668[/ATTACH]
Negotiable…

Thanks, but am looking for a smaller car like Nissan march