hii shida niligundua ni possibility kadhaa.
Either
matope. kama ulikuwa kwa matope imeshika wheels side ya ndani na suspension gari ikifika 80 inatetemeka violently. lakini below 80 ni laini kama makalio ya mtoto. kitu inaitwa resonance, degrees of freedom, natural vibrating frequency. Enda ioshwe chini vizuri.
Zingine ni tire ama wheel out of balance lakini hizi huleta wazimu at 100 and up but cant be ruled out. pia kama umeongeza weight yoyote si ya kawaida kwa any wheel.
Zingine mi huskia ni wheel bearing.
nimeskia complaint ya mafuta ya total kutoka kwa mtu mwingine. anasema inaleta backfiring which should have such effects. Mimi sina uadui na total ata mafuta yao ndo naweka siku hizi na gari ina-max out kama ile kawasaki H2
Hii shida pia mimi nilipatana nayo after kuweka excellum. Kelele miiingi kwa gari I even thought ni hewa haitoshani kwa tires. By the way @M2Random niko kwenyu nyahururu place inaitwa Laikipia comfort hotel. Jana niliona haga zingine Thomson falls nikaona nikae huku weekend yote.