CCM Wameanza kulana wao kwa wao

Mmmh

Wanataka kumgeuzia kesi kuwa yeyey ndio alitaka kuwaua kumbe alitekwa na alikuwa anajilinda

Pumbavu unakuja kutafuta nini huku? Si mnashangilia JIWE kufungia mitandao, kaa TZ mshangilie!

Chuma hula chuma

Chuma hula chuma

Acha wafu wazikane

Zakaria ana bahati sana,

Ilikuwa ndo imetoka hiyo

Zakaria kacheza kama Mbappe,watu wasiojulikana wamefail tena kula kichwa

achana na huyo choko wa Lumumba, huwa hawajui wanachoteteaga hata siku moja

Hii sasa imekuwa wazi kuwa wasio julikana sasa wamejulikana wazi ni kina nani na kwamba serikali ya ccm iko nyuma yao na inawalinda.
Ila Zakaria ni mwanaume Wa shoka zaidi ya wale Wa Barrick tulioambiwa ni wanaume

zakaria sio kichaa apige watu na risasi,wao walitaka wamteke wakashindwa ndio akawabutua

Na kweli sitajibizana naye tena.

Mamae Wafu wanaicheza ngoma walio ichagua vizuri tu.

wasiojulikana wamejulikana Leo hao n ma agent wa jiwe

Nimemsikiliza mkuu wa mkoa wa Mara akizungumzia tukio hilo ITV, ni wazi kwamba serikali inataka kuficha kitu fulani…

Mama Tz why???

Mshamba kweli wewe; sijui bavicha wa Wapi usiyejua kutukana??

Matusi ya 1950’s hayo yameshaexpire; tafuta mapya.

Acheni yamalizane…mafisiem.

Lissu alishayaambia yatawarudia.

Ngoja niendelee kutafuna popukoni wakati ovie ikiendelea.

Lazima walitaka kumpoteza huyu