Chakubanga ni nani?

Cakubanga hampinga mkoloni

Mtaalam wa ZILIZOIVA na hizi HAZIJAIVA ni MBICHI…
Chakubanga wakati anatetea wizi wa 1.5Tril.

Ni yule ambae hakuna ajuae kama ni mzee au ni kijana. Hili litapelekea pensheni yake kucheleweshwa sana.

Hahahahaaaa

Umetoa tathmini ya ukweli na sahihi kabisa mkuu, pamoja na mazuri kadhaa aliyokua nayo Mwalim Nyerere yeye ndio aliweka msingi ya kua na taifa lenye idadi kubwa ya wanafiki na watu wenyekujipendekeza ambao watamsifia kiongozi kwa kujipendekeza kua ki;akitu kiko sawa na bila kumwambia ukweli hatakama wanajua kua kiuhalisia mambo yanaharibika

Mzee wa kwenda na moja kichwani

Unachukua hapa unaweka pale unaenda na moja kichwani.

Mzee wa Pato ghafi na lililoiva.

Ni dalali wa kununua wapinzani uchwara.

mzee kijana