Champions League is baaaaack

Hata Tuchel ameamua jamaa akaoge na mapema, amekuwa Giroud leo…

1 Like

4-0 hehehe

Hehhehe. Na akafunga.

2 Likes

Timu za Spain zitoke. Wamezoea watu sana.

2 Likes

Fuak Barcelona uefa can’t help them anymore

1 Like

hapa ni kukazaa hakuna away goal hizi panya zipate

Si ni vizuri wakojoe tu mapema wamalize juu watakojolewa tu anyway.