Channia bus company kumulikwa

Chania kibz,chania executive, genesis, simba, chania cool, randa, raha all have this habit

SGR yaja

kwa train unaeza kojoa through the window

1 Like

hauwezi shikilia mkojo for exactly 4hrs?

4hrs ukiwa umekaa ni ngumu sana, The more you wait the more your bladder seems to get overflowing

Train is self contained, Ata ukiwa 1st class cabin unakula slices vizuri for 3 hrs.
@Female Perspective uko wapi?

sijawai travel by train. wakimaliza SGR nitajaribu, but I hate how hizo viti huangaliana, reminds me of those pick-up Matatus of yore. Imagine 4hrs umekaaa unaangalia mtu mbele yako kutoka juu hadi chini. Akilala akianza kumwaga nyute unacheka anaamka anakuangalia Na sura mbaya. Unajaribu kuficha kicheko lakini wapi.

Hizo ni mostly za town/urban service with average time lasting about 20-30mins. Kunazo hata with standing passengers.

1 Like

from those photos of the SGR coaches, kuna sijui ni economy class, viti vinaangaliana, lemme look for the photo

Ndio hizi @Luther12

[ATTACH=full]76344[/ATTACH] [ATTACH=full]76345[/ATTACH]

more photos
[ATTACH=full]76351[/ATTACH] [ATTACH=full]76352[/ATTACH]

Easy. Grab a book and in no time upo Mombasa.:slight_smile:

2 Likes