Chaos in Kangemi

Naulisakoo,kutakuwa na holiday hiyo siku ya census,ata sijui iko siku gani,vitu zingine sio za kunisumbua.
Hata hivyo mimi kama Chief Bachelor am I supposed to travel to reserve nikahesabiwe pamoja na wazazi.
Ni hayo tu kwa sasa

Kenyans fighting for meager resources. What a disgrace

kipii niaje?

Niko poa ng’etai

hakiangai the more things change the more they remain the same i remember back in 07 tukipigania ma job za elections clerks pale kenya science dagoretti corner that was 12 years ago complains were the same nepotism ,corruption etc.Hawa wa kangemi may be walikuwa primary school then and nothing has changed :mad: