Cheap dentist at CBD

cost?

Ebu ongea english juu sielewi mdau

all charges ya extraction

Kama extraction haijafanywa. Tutang’oa halafu upone Kwanza ndio tuanze matibabu.

@Wanaruona kumbe wewe huwa dentist

Nilienda Molars kung’olewa mrembo mmoja hapo akaniambia srow down…ata kama ni chungu sio lazima tung’oe…nikamwambia fanya utakalo bora uchungu iishe…
Ikafanywa root canal,ikatolewa dead nerves,ikaoshwa …ikajazwa filler kwanza…nikapeewa dawa…after 7 days nikarudi…ile filla ikatolewa…nikawekwa filling permanent…its been 6yrs bila uchungu and have all my teeth intact…mungu abariki huyo daktari mrembo

Wewe wacha ku encourage watu wang’oe meno…fanya kama huyu mrembo

I had my teeth filled back in 2016. After how long should I go get the filling checked and filled again??

Kumbe hiyo ng’ombe @Wanaruona huwa inajua kitu… I always thought that it is only good for hide/skin and manure…

I almost choked upon reading this. Mbona wewe huji underrate hivyo. You seem to have expert knowledge on teeth!

Cheap “dentist” ni mwenye alipitia KMTC instead of dental school

I think he meant affordable…

Kencom hse 3rd floor …wengi sana. Ask for Dr. Baridi. Good oldman

Total cost ilikuwa?

This Kenya we don’t charge exorbitant like huko amurica. I have done some bridges za watu wametoka majuu. Huko naskia 3 bridge ranges ni 4500 USD. Mimi na charge from 200-300 USD.
Heri ni kidogo sustainable kuliko mingi ukose.

Wekewa pfm crown. Filling with time it’s start to leak.

25k

Hiyo inaeza cost doo ngapi? Na useme bei ya hustler.

Bei ya hustler 8k. Usilie Sana.

Nataka bridge metallic mbili. Unaeza? Estimate?

How many teeth are you missing.