Hiyo camera ni megapixels ngapi? Wacha aibu dogo dogo kwa kijiji… Unaringa na phone ya nguvu na unasukuma bicycle?
tyre inatoka bei ya piki piki mzee?
Sema tu ulikuwa unafanya kazi ya boda boda huko Funyula
Hii phone nikaweka hapa unaweza chizi ukifikiria maneno yake.
Hiyo kazi niliwacha uncle. Saa hii na chunga boma ya kina bada lingam parklands. Lakini natafta blackie ya kunipeleka kwangu ungwaro
Weka kengele ya black mamba,thank me låter.
Hio haiwezekani. Labda niweke siren
Hii back end yenu haifanyi compression on the fly?
40k ni wazimu wewe. The bike itself is abt 10 to 15k. ni nene?.
Sasa wewe unabeba maneno unaambiwa hivo tu. Siunaitikia tu lakini si kuenda ukirudia everywhere na ni plain BS.
I dont mean to bring the owner down but I dont think its different from this one
http://www.mesuca.net/goods-5085.html
kwani ulibuy wapi? thats thrice the price.
It’s the cost of business my friend…if you calculate the cost of shipping, storage, tax and owners profit, 40k is fair.
hii ndio ilikuwa inaitwa idiomatic expressions:D?
Or is it onomatopoeia?