Cheki Landlord fala sana

Umemuonaje…labda she is a corporate chille

Is your house in Mathare North, Kariobangi, or Baba Dogo? Huko ndio hizi cases zimejaa sana.

dim eye hua sana na issues za pay.kuna mahali rela alinipea kazi ya ku follow up on rent increase.nime organise barua kwa lawyer nkapelekea wasee. one dim eye, who funnily enough kila mwezi lazima akue na issues za late payment aka andika barua n gave guys to sign,alafu nikapewa,ikidai increment ikue gradual badala ya pap. nilimshow aliingia nyumba peke yake so sitambui hizo signs anarokota

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D hii picha inaweza kuwa kali

Criminal case.