Chokoraa na Kinyesi.

Wa D nimewainamishiaga. Hao ni wangori

Itabidi beshte yako apige weight kiasi ndio waache kumdharau. Hayo ni madharau outright:D:D:D

Kwa dumpsite utakuwa ukitafuta nini? That is probably the most dangerous place in Nairobi.

dumpsite kuna maliā€¦meeting point ya blackmarket ā€¦ kuko safe, hakuna makarao

Hao watu wana guns bana, huko siwes jaribu. Though boma imefanya watu kadhaa najua millionaires.

1 Like

yepā€¦that could do.