Chupi Friday: Official Thread

Nairobi Business Community

“We will be there although you may not see us. We are ready to protect all peace-loving Kenyans, so we encourage you to go on wth your businesses as usual…”

Zile machetes ziko town kwa majackets na mataxis wacha tu…

why dont you do your own thread and ask for pins

Kisumu naona demo ni za watu less than twendi…enyewe RWNEEEBPORK.

tuko njiani tunasija

Arimis mpangoni tayari! Wanafika town saa ngapi

Ha ha

:D:D:D:D:D:D:D:D
Kwiiiiissssssa! Na je duka KISUMU?

Guka niaje? Niko na stock ya muteta. ulimaliza ile ingine?

Hapa kuna hadi wagithomo kwa hivyo tulia.

@swansea,hapo I pinned this thread, ndiyo maneno iko,thread ni ya admin,kijiji ni ya admin na hata wewe ni Wa admin

Co-asks. Ujinga tupu. Maybe VC meza mate ako na hizo powers.

kama hamutaki tembezeni viatu

VILE NV amesema!

leo ni holiday hapa dala,lasima tukule teargas yawa

hehehe,habari chifu

Juja road no-go zone:bangbang:
[ATTACH=full]129952[/ATTACH] [ATTACH=full]129953[/ATTACH]

Na aitishe barua ya CHIEF.

[MEDIA=twitter]916032682634616832[/MEDIA]

Stupidity at its height. What value does this add? Normally threads that are pinned are of high value (elections results etc) that are neutral in their message and not a propaganda tool from one side of the leaning divide. To drive a certain agenda. Stupidity. @admin save your village from being used as a propaganda machine/tool for one side.

@Meria Mata = @master. So how many handles do you have? Ati mimi ni wa admin? You got jokes my fren. :D:D:D [SIZE=1]some of us can buy admin, mods, the trucks they drive and their whole village. [/SIZE]