CHURA!

Una mawazo machafu mod …teh teh

Chura

Pole sana Mkuu.

Mkuu slim5 Tatizo wakishajua kuwa wewe ni Chura wa Kihansi wanafunika Sufuria wakati bado maji yangali ya baridi…!!!

Tatizo Chura anakaa nyuma

nafikiri kuna ukweli kwamba mafanikio ya mtu yanatokana na baraka/ kudra za Mwenyezi Mungu; mnaweza kufanya same project; same categories same market strategies, same management skills lakini mwenzio akatoboa tena sana wewe ukabakia hapo hapo madeni kila kukicha.

Mi nafikiri mafanikio ya mtu huwa si bidi na elimu tu, bali kuna something extra kwa kweli. Watu wanahaso usiku na mchana hadi unafika miaka 60 hujajenga hata banda achilia mbali nyumba.

asante sana… ushauri mzuri

cc @Smart911

Kuweni makini tu, unaweza kudhani wamelegeza kumbe na watu wanatafutwa waingie 18…

Kuna mda una akili

Mara zote ninazo