CITI HOPPA CHRONICLES

Kuna sticker naonanga inasema ‘hatusemi wee in mnono lakini ukikalia viti mbili lipia’

@gashwin hizo ndo gani sasa?

I went through the same once and promised myself i will never suffer in silence, alipie viti mbili kama ndio atatoshea brary fakini.

:smiley:

3 weeks ago boarded a mat from Msa to Kilifi. Kuna hii kiti huwa 3 row ukitoka kwa dere. Madha fulani alikaa katikati. Mimi nikajiseti kando yake. Mat ilitoka tu hivi nikajipata nimekalia tako moja. nikama ali tuck in matumbo, pancrease, duodenum, colon, liver akiweka bait mseh akae hapo…

panda kama unanuka pombe atakusongea ama akuondokee trust me…

cc @Guru

I was born with a silver spoon… What is Citi Hoppa?

dede ya kutoka uthiru hadi buruburu