CLEANING OILY JERRY CAN

@uwesmake saidia huyo mujamaa na mawaidha ya kuosha mtunji. Najua mama Clichy huosha kathaa kila siku ya kuweka maji ya biz

Hehe na wewe huoshangi mitungi ya kuchotea ngamia maji?

:D:D Apa ngamia zinakunywa maji from water dispenser banae.

Shida matatizo ni mbaya walahi! Ndio mtu afike kuuliza jinsi ya kuosha vibuyu online maisha inakuwanga imemufikisha wapi haki?

Blame it on CBC, inakaa mtoi wake yuko grade 5 alipewa hio homewak

I thought this thread died,anyways sina mtoto.Mambo ya jerry can nilimaliza,for those still asking.