hehehehe kwani nilikupatia mimba?
rusha maneno inbox
Hahaha, wacha pombe ishuke will catch up kesho
actually niko kwa desk nafanya kazi, leo hakuna kulewa
Ichieni, that’s the spirit
Sasa sijuui ni bebe nani
Why should he run. Fafanua.
Weh
Its a pishori HQ.
unaeza kua umerokota hii bill for all we know.nope that doesn’t count
ndugu yako Tom Barasa anakutafuta
mwambie siko,nilienda na bibi mtu hapa kijiji,niko gesti
:D:D good to know
Niaje kijana naona ulikunywa pombe kwa wasito. Its been a while since niende huko…
kwani hautaki mboka? kuku inajileta bila mtama na unaifukuza
niliuza shamba ikabidi nionje pesa kidogo
:D:D:D
:D:D:D ngoja kwanja, lasima
Niko area reo jioni ama kesho, been very busy lately
sawa wewe nichapie