Coasterian lady desperately looking for wazungu sponsors in night clubs

All the bebes I ask out wananiambia tumeet mchana. Hiyo ni indicator nitoke kwa game.

No. Maybe he is the one related to me.

ulifunga mgani hapo

Wanakaa tu Mwea girls.

Hii ni bar aina gani watu wanakalia dawati ??

1 Like

Mlionyeshwa 40*80 pande za Zebra?

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2017/03/150071_215b0c15ae5867fe35e4bdc79fe8a747.JPG
Si mbaya…Nyoka ata haina bra. Lakini hii club ni shiet. Hiyo light yote unaweza jipata kwa mharo ama ghetto.com ukiwa umewekewa basmati na msupa…

3 Likes

Club zote huwa branded na Ciroc vodka, lakini hakuna mtu hununua

1 Like

:D:D:D afadhali base za keg kila mahali ni senator na posters za legend

1 Like

And his gukaa before him.

Naughty,…Or stupid…Or both…

:D:D:D:D:D:D Zero chills plus Tsunami sweep. Eish

1 Like

Hehe huyo boyz kwa hizo pics anajua kucheza chini

1 Like

Upussy! To each her own

1 Like

Inaitwa school bar

Hiyo nayo ulijua aje sasa? Sasa sababu inakaa unajua more? Yule jamaa mwenye kuniuzia ni za ukweli ama anataka kunikula?

wanakuanga hivyo, ebu tizama hii video, foward mbele kwa part ya mlami uone desperation

https://www.youtube.com/watch?v=izIhzVpXtPU

si baya viiil,e ya kutia short ukiendaga, lakini sio worth kuringia

sijawahi elewa hii kitu ya kuenda club kurecord video za kuweka kwa mtandao

[ATTACH=full]86837[/ATTACH]
Kenyan ladies have never learnt how to dress to the party! It’s a shame