Mkuu; ilishasemwa: Wakitumaliza sisi watahamia kwenu. Yawezekana Zakaria si msafi lakini kama alivyouliza Kikwete - tena hadharani- ni nani aliemsafi ccm? Wameanza kutafunana “menyewe kwa menyewe”
Wengi nimegundua mnachuki binafsi na huyu POPOMA,C.FELA kiasi kwamba akiweka hoja yeyote mnakimbilia kutukana pengine bila hata kusoma alichoandika
Punguzeni mihemko waungwana na kama tupo hivi raia wa Tanzania basi acheni tuendlee kuporwa pesa za korosho.
Kifupi Tarime nzima inashangilia tukio hili pengine la kihistoria kwao.
Zakaria ni zaidi ya Zakaria wa mabasi achana na dharau zake ni zaidi ya hayo
Usalama acheni wafanye kazi yao na hayo ni matukio yanayowakuta katika kazi na wanastahili kumfuata zakaria
Wiki jana Zakaria alienda kanisani kutubu na kuomba waumini wamwombee maana usalama wako nyuma yake…Mke wake yupo rupango kwa makosa kadhaa…
Polisi Tarime au Mara kiujumla ipo mikononi mwake na sometime huwa anawapiga hadi makofi,…
Inshu hii ni pana sana aisee wala wanasiasa wasiichukulie kama ndio kigezo cha kuidharau TISS.
UWT wanajua wafanyacho tusifikie hatua ya kuwadharau kiasi hicho.
Dodoso tu ni kuwa inshu hii inaanzia kwa Tajiri wa supa Sami kisha Nyanza…Acheni uzwazwa na msipende kumshambulia POPOMA wa kale kwa kudhani hajui alichoandika.
Hapo kwenye bold; ndio hoja ya wengi wetu (tusiokubali kushangilia ujinga). Kama kweli UWT wanajua walifanyalo, (Zakaria hajaanza hayo anayotuhumiwa kuyafanya jana alipokamatwa - na kama ulivyotutanabahisha hapa Polisi wapo mikononi mwake na sometimes huwa anawapiga hadi makofi) NI KWA NINI WASIMCHUKULIE HATUA SIKU ZOTE HIZO - hadi wamchukulie hatua jana??? Huyu bwana magari yake ndio yalikuwa yanatumika kusomba watu kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya ccm - halafu mara nyingi baada ya mikutano usafiri wa kurudi nyumbani “unajiju” - kipindi hicho alikuwa msafi??
Kwa nini tusiamini kuwa kuna kitu kingine nyuma ya pazia kilicholeteleza yote haya? Mwenye majibu ya kueleweka juu ya mashaka yangu haya na aje aniambie.
[FONT=courier new]Sijutii na tena kwa taarifa yako kwakuwa Mimi ndiyo Makao Makuu ya hayo ’ Matusi ’ na maneno yote ya ’ Shombo ’ unayoyajua na hata yale usiyoyajua huku sasa ndiyo napapenda kwani nitaweza kuwaonyesha dhahiri kuwa sina ’ Mshindani ’ na huku sasa ndiyo ’ watayakoga ’ hadi wajute kuifahamu hii ’ Brand ID '.
Kama wakati wa Kampeni za Urais mwaka 2015 nilikuwa ’ Mwiba Mchungu ’ kwa Wapinzani na hasa wana CHADEMA tena waliokuwa wengi kule Nyumbani JamiiForums kuliko hata hapa ’ Ukimbizini ’ Kenya Talk ndiyo unadhani wataniweza?
Halafu uzuri ni kwamba nimetokea katika ’ Makabila ’ mawili hatari, muhimu na makini ya Zanaki na Tutsi hivyo Kwetu Sisi ’ Kuogopa ’ chochote au lolote ni ’ mwiko ’ na moja ya ’ Sifa ’ yetu kubwa ni kupenda Vita, Mapambano na Hatari hivyo nayatendea haki yote hayo.
’ Principle ’ yangu itabaki ni ile ile milele niwapo humu Mitandaoni kwamba ukija Kistaarabu basi utampenda GENTAMYCINE ila ukija ’ Kishari ’ utajuta kunifahamu kwani nitakushughulikia kwa mbinu zangu zote na hakuna Vita ninayoipenda na kuimudu vilivyo kama ya ’ Kisaikolojia '.
Kama kawaida Wewe ’ Ukijamba ’ tu basi Mimi ’ naharisha ’ kabisa na namalizia na ule msemo wa Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Amos Museveni anaosema naunukuu…" I pay You according to your Price ". Na Wewe kama unajisikia pia Kuungana na hao ’ Wapumbavu ’ katika ’ Kupambana ’ na Mimi ruksa tu kwani huwa napenda sana ’ Kushambuliana ’ na Idadi kubwa ya Watu kwakuwa nina ’ Jeuri ’ ya Kuwamudu na hawana ’ ubavu ’ wa kuniweza.