Confession of a uber taxi driver.

hii tulisoma gizani kabla Mungu aseme, “let there be light”.

2 Likes

Hii tuliona wakati Onan pulled a coital interruptus on Tamar pale genesis

1 Like

:D:D:D:D:D

King Henry II before akuwe sworn in in early 1150’s nilikua tayari nisha ambiwa ii story ilikua narrated a century earlier

3 Likes

Rumuruti tena

1 Like

tuliona hii b4 ww1

mtu asumarize hi upuss

Hii story Emperor Nero alikuwa anatuchapia tukingoja gladiators pale Colosseum .

Niliona hii nikichoma mahindi pale ngara

Tukiwa na King Shaka kwa mfecane tukiraid the Sotho, Swazi and Pedi.

1 Like

we unasema uliona venye pharaoh alikua anazikwa, hii risto mi nlicheki venye @satan alishuka toka mbinguni kuja kunyanduana na binadamu

…mi sikuiona hio siku ili postiwa na Moses before azaliwe. Inakaa story poa sana lakini sitaisoma juu ya comments zenu :D:D:D

1 Like

Hii story Dr Livingstone ndiye alitushow tukakataa kumpatia shamba juu haikuwa na picha

2 Likes

Hii story tulichapiwa na Elijah pale kando ya river jordan akingoja chariot of fire imkujie

1 Like

hii tuliona kabla noah aanze kudaisha plywood and whatnot

1 Like

kabla Wangu Wa Makei kutupa nguo Na kutembea ndethe

1 Like

:D:D:D

Hii story ndo ilifanya jacob atwangane na malaika usiku kucha juu alijua ni upussy

3 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Haha. Nilichapiwa hii story na Archimedes kabla apige nduru ya Eureka!