conned ctrl v

Hehe. Ya sweepstakes ndio yenyewe watu walikulwa vizuri. Mpaka king kaka sang a song depicting it. Hiyo I was a victim way back in 2003 when it hit the streets. Ule Mumeru amepotea nairobi, that guy was sleek wueh. Tamaa mbaya:D:D:D

The good thing about being conned is you will be able to spot them easily in future, unless wewe ni jinga permanently

Na Tanzanite, pia Mercury yenye inatoka kwa mlima kwenye nyoka?? Na ile stove ya kitambo sana??? The con games in this city, My God!!

unauza nini?

Mimi ile ya kugawana pesa za kuokota zikiwa inside an envelope is my hekaya!
After the guy picked up the envelope (I was right behind him), he showed me the contents.Nilimuona yeye ni fala sana eti hewantsto share his ‘luck’ withme so I blindly followed the asshole tukapanda matatu eti we go ‘far’ so that we can share the money comfortably.He even gave me the envelope nieke kwa mfuko eti ananiamini. I ended up being robbed instead na nikawachwa Karura forest.Have never gotten the courage to tell a soul hii hekaya, cz ujinga nilikuwa nayo wueh!
And as they say, getting conned starts with the victims greed.