Cooking with chef Kush

Hizo ni mabwoni(ngwashe) na ugali. Friday next week ndio ataskia njaa tena.

8 Likes

Like someone has said hapo yuu 
 nlikulia kwa kitchen

Supper inabidi nkule kwa mpango bana

1 Like

Ùka kahora mĂșkĂčrĂș.

Hehe 
 níkíí shef Rafael

Hio ugali ulitoa +254? Uarabu’s unga ni nyepesi.

1 Like

Ni atia ndugu Gashui

Thought ulipata kazi ya kuchunga nguruwe Kenya

1 Like

Seriously afande!

2 Likes

Hio sembe si kidogo.

1 Like

ndi mwega kai utariaga nyeni?

Yea nlibeba hii kutoka home 

[ATTACH=full]85686[/ATTACH]
Hii semolina(unga ya hapa) inakaa ni kama unga ya chapo, haiwesmek

1 Like

Saingine bora tumbo imejaa

1 Like

Low glycemic index mambo yote.

You don’t cook ugali, you make ugali

3 Likes

hakunanga harufu tamu kama ya ugali imeungua kiasi

4 Likes

Tangu lini mwanaume mzima hana bibi kapika yungu tatu ?

2 Likes

ni juu ya afya
you can even throw in the mboga in the nyama mzima mzima bora ule mboga


2 Likes

Hehe

1 Like

Hehe 
 hata hii unamezea mate

1 Like

Hakunanga afocado kwa Abdul?

2 Likes

Kush unabebanga unga ukienda kwa Abdul?
Unga ya huko ni GMO. Niliwahi kujaribu kuunguza sembe ndio harufu ikwom but ilikataa.

3 Likes