Cooking With Gio: KTalk Tv Edition

Yummy @Gio

this show will be twice a day, please invite @Wakanyama aje na recipe ya mutura

@Wakanyama kuja tufanye cooking with Gio and Wakanyama ukuje na nyama, show you how its aged halafu upike

hii ni mharo ama??

Ya kuku kwanza

wewe utaolewa tu na mwanamke apa soon endelea tu na hii umama apa

mbona hii kanyama inakaa ya marabou stork:)…
[ATTACH=full]46502[/ATTACH]

Even after ile hekaya yake ya juzi?:oops::oops:.
Nisawa tu.Nitaendelea kuumia tu.;):wink:

:D:D:D:D:D

@Gio does one have to remove ile skin ya white huwanga kwenye nyama ya kuku? Excuse my vision, i Cant tell hapa whether or not hii imetolewa

Yea, have removed the skin

Ok. Thanks

inakaa kama mharo

Apana tambua kuku ya broiler. Kuku ni ya kienyeji inachemshwa in lots of water to form soup for one hour. Unakula drumstick moja full na ugali na kuteremsha na cup of soup.
Very healthy bila uzungu mingi.

Ahem…

This is not your work and neither are those photos…kindly acknowledge the Author.

oh ooooooooh…storm in 5, 4, 3, …

Bust him, tell us the source.

Any foodie in Kenya can always spot Chef Raphael’s work from a mile…unless huyu jamaa alienda back in time(2014) akaomba kijiko na sahani ya the Chef akapike kwake!
[ATTACH=full]46539[/ATTACH] [ATTACH=full]46540[/ATTACH] [ATTACH=full]46541[/ATTACH] [ATTACH=full]46542[/ATTACH] [ATTACH=full]46543[/ATTACH]

Hu hu!