Craiglist

Wife her, afagie nyumba kisha utuletee hekaya

Hii craigslist watu wanaimba nilichungulia juzi nikaona wasichana wanamchezo eti wanataka “token of appreciation” alafu they state the amount. Then they dont want anything to do with under 30 year old men. Saa hizo wanadanganya eti wako 23.

:D:D:D:D:D vijana muko below thirty nyinyi ni sumbua , hivo ndo wanasema

Mimi niliona kama hao ni ma 33 year old sababu sioni 23 year old akitafuta sponsor hivyo.

Longterm relationship

:D:D:D:D papa khocha lichoti oli mundu kimitakho sana.

Are you that broke?

Unless you are culturally inhibited, bibi mnaeza kutana na yeye anywhere na muishi.

Madame wa craiglist huwaga average tu, the desperate type. Speaking from experience.

I prefer going out and meeting real people through conventional methods, blankets and wine, koroga festival and the likes.