Crazy Kasie....

Wee hayaa…

Haya weee!

Hahahahaaa hivi unajua kama wanakusoma. …

Au ndo mambo ya Temboo. .!!?

Acha wana wanywe bia

Waache wasome tuu…tatizo linabaki palepale…hawawezi kujua variables zilipo kny ile equation!!

Hahahahahahahahaa variables…

Sawa bwana Tembooooooo.

Si wanataka kutusoma huku wanatazama!!!hebu watuonyeshe wanatusomaje!!!

Hahahahahhahaa hivi unajua wewe umepinda. …

Wako wataalam wa kuunganisha matukio watakuja na equation hiiyoooooo utashangaa variables wamezitoa wapi hehehehehee

Labda siyo sisi tuliopiga picha chini ya ule mti wa apple ambao Newton aliutumia kutambua nguvu ya mvutano ya dunia kipindi akiwa mtoto.
Sisi tunacheza na maneno.

Hahahahaaa hahahahhaa looh shkamoo Temboo

Marahaba …za huko mijini? Mimi Niko huku porini nawaona tu wathungu wanapita na magari yaliyotobolewa kny paa.

Hahahahaaa basi niandalie chai ya shamba nakuja kunywa hata ikiwa mchana

Tembooooo…hatunywi chai…tunakunywa supu ya maboga na thamaki wabichi.

Hahahahahahahahaa

Supu ya maboga hapo umeniweza. … naweza nisitoke hata nje… ila sushi utanisaidia kumeza aiseeh hiyo hapana haipandi hata kidogo.

Usihofu ntakusaidia kumeza tu halafu unashiba wewe…

Hahahahaaa sawa Tembooooooo
Hayo mahaba ya kumezewa. … yamenikolea…

Yaani wee acha tuu…mahaba mahabani wanasema.

Kabisaaa. Msalimie Jay Zee…

Anaitwa Shawn Corey Carter(tembooooo) …hilo Jay-Z ni la kisanii tu.

Ooh ok, mmefanana taswira??