Cupping

Safi…chini brathe. Rusha namba inbox khupipi akupikie Jogoo tukimeet tuweke Tawa 1 kama wale wenye ktalk.

zi simaanishi i was riding…nammanisha pub inaitwa cadillac

@Elgin Hiyo ‘kunyonya mbwa’ si tukubaliane ikufie hii thread

unatumia camera gani?

Hiyo kofia yako imeona mengi

Safi mkuu

Hii ingeongea!wa wacha tu!

13mp J4 plus. Thanks nigga.

Hiyo ni base gani?

Sisi ndio hawa:[ATTACH=full]233438[/ATTACH]

Ndio mmetoka kukata stima au pale City Morgue? Eleza kijiji…anyway unakunywa nini nitoe moja?

Kiatu imeisha joh

Unapiga aje picha ya rasa za mwanaume

Hizi ndio vitu @Panyaste panyabuku anshinda akitusi wakikiyu kuhusu…

Taimajini mtu akule githeri alafu umuongezee keg, na Bado utataka kuonja HKM…

Saitani

how dare you ! Go for your age mates

Ongeza mbisha za kienyeji tafathari

Apana. I just wanted to show the place.