cutlery

ukienda google utafute dining etiquette kuna acres of material na pia skechi, diagram, picha na map za kukusaidia kunavigate wakati unajipata pale…:D:D:D:D:D

Shida ni hapo kwa thufu…do they tell you hiyo ni starter ama you supposed kujua aje…?? Na starter supu ni ya aina gani…?? otherwise, Forks, Visu bado nangangana kujua kuzishika vizuri na kupandisa mdomoni bila kumwaga chakula…

mara nyingi huwa mwanzo wa meza ya buffet…na kuna kibakuli chake na kamkate hapo kando ambayo yafaa kuandamana…:smiley:

That crater in ugali is called othonjo

hEHEHEHEHE…I need to experience this…Otherwise naeza kula mkate na hiyo supu nitoke nkisema hao watu ni wachoyo sana na chakula…ama kama ni buffet , nziweke zote ka tray nianze kutafuta formula ya kuzirarua kwa table…Aibu ndogo ndogo staki tena maishani…nimeaibika ya kutosha…Mmmmhh…Like a day nko conference iko na gava officials…nlikuwa nimeenda kama kana ya mikono…time ya lunch pia sisi peasants tunapanga line na wakubwa…nimebeba chupa ya soda (500ml) yote kwa table…ikakujiwa nkaambiwa mtu huweka kwa glass then unawacha chupa hapo, if you want kuongeza you go back kuongezea…Swali nlimuuliza ni, si mtu anachukua soda yake yake ama?? Na hii ni yangu, mbona kunicomplicatia life…

hio soda ilikuwa stoney? mwalimu andrew kumbe unakujiaga material huku?:D:D:D:D:D

Apana Coke…hapo kwa mwalimu Andrew umefeli…li li li…:D:D…

lakini vile unaonekana unapenda soda madiaba mwalimu ni mwalimu tu!

hEHEHEHE…Kwa nini nikunywe ndogo na kuna kubwa…umesahau na mkate lakini iwe ya mbofuro si slices…

Upus ,ugali ni kumega.

Kuku, samaki, beef kama iko na mfupaspective:D…lazima utumie mkono…kama iko boneless tumia knife na fork atleast according to me. I hate fine dining… iyo style sijui ya kupanga vijiko na visu sijui utumie inside out, sijui starter soup ukunywe na style gani na kijiko specific, sijui ueke vijiko, visu in a certain angle kuonyesha umeshiba…sijui shape gani ndio water glass, wine…sijui mkate/cake upake margarine in a certain style…sijui ueke napkins (i have witnessed ninjas wiping faces with them:D:D) in a certain shape…upussy mtupu.
Na ii mambo ya starter soup mmi siwesmake kukunywa soup maji maji :D, mmi kitu kama siko sure huachanisha hizo masoup zao kwa meza… there are some ninjas who pull these fine dining stunts so well utafikiria walizaliwa wakifanya hivo.