Dada zangu.....Tuambie kitu cha kipumbavu zaidi ambacho X au Boy wako wa sasa kakufanyia

Kwahakika hili limekua ni tatizo kubwa sana kwa mahusiano/ndoa za sasa mkuu

Ngoja aje kuandika mwenyewe hapa

bongo muvi wako Elli au hahahah

Ni janga la taifa hilo mkuu

Hahaha

Nini tena jamani

Hahahaha
@Eli79 wangu sio bhana! We tulia akipita ataandika

Ni mwema Sana mimi mwenyewe tu

cc @Smart9

Ma’am naucheza huu wimbo mchanganyiko wa kigiriama na kiswahili kwa ajili yako…you are so fine indeed

https://www.youtube.com/watch?v=BxeKBZEBaxQ

Makubwa haya

@Archdukee

anajiita mwizi-bora hebu nione akuibe basi

Hahaha ataanzaje kuniiba

kwanza huyu wa nyumbani au??

Naonawa huku diaspora mana kigiriyama kiko kenya

mmmhh upo vizuri babe

Hahaha kigiriyama kisegeju kiduruma vyote huko pwani ya kenya lamu mombasa mombasa vanga

babe spare my mbavu basi nacheka kwa sauti as if nipo kijiweni

Itabidi nikupeleke vanga ukasikie vilw kiduruma wanaongea kama wadigo

wengi wanayokutana nayo huko hujifunzia huko