Dagaa wa urefu gani wanaruhusiwa kuliwa?

Mkuu hili ndo jibu.

Hakuna forum yyte ntakayojiunga nayo zaidi ya hii na jf mengine ni mitego

Mamae! Daaah

Mi niliwanunua wa Kigoma pale Kariakoo! Nimempiga stop wife kuwapika! Nasubiria bint yangu wa boarding arudi na rula

Kuna Mbunge mmoja alinifurahisha sana jana aliposema huyu Waziri ana Bidii ila Busara iko Makalioni

Wewe mkuu kula tu, size ndio hyo hyo au subiri waziri aje

Mamae… Hii namba tunayoisoma asaiv hatutaweza kuisahau kamweee…

2020 Loading…

khakhakhaaaaaaa… mtoa mada sijui amewaza nini. nashangaa eti Kuna sehemu hawaruhusiwi kuuza dagaa