Dawa ya Kunguni priss

gladiator:eek::eek::eek:and how poisonous it is uoshe nyumba nayo???

1 Like

Hata those pest control guys (the ones that carry knapsacks) kwa hood pia I don’t trust them, wanaweka too much water kwa dawa, badala kunguni wafe, wanaongeza, hehe

Uliza @Tommy Lee Sparta vile alifanya. He had similar issue sometime back

Gladiator ni antitermite, used during construction of houses, It’s not poisonous, lakini harufu , Wacha 2,freshener ya wiki moja, :smiley:

1 Like

Enda pahali pesticides huuzwa town pale chini ukiteremka around Polos, Afya Center hapo, uliza, kuna variety kama Diazonol, Necadol ama Lava, instructions on how to use are written, and also buy a sprayer

hakuna kitu naogapa kama kunguni, yawezafanya usilale. :eek::eek::eek:

usiku ndio feeding season o_Oo_O anza kupiga dawa

Githurai hakuna fence

anza kutafuta nyumba

diesel works miracles.

True, there’s a mama who told me that there are guys who deliberately plant them on those Githurai buses.

1 Like

:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:

sijajua nilisoma io container time tulikuwa infected na termites nikadhani ni poisonous but io harufu enyewe

sema tu ni kwako umevamiwa sio neighbour, hatutakucheka saana

4 Likes

sounds familiar :D:D:D:D:D just asking for a friend :rolleyes:

Forward travellers and the like use the industrial version of diazonol for dealing with those pests. Hutawai ona moja kwa hizo mat. But be very cautious when spraying it. Especially if you have children. Na the smell is nauseating sana so tafuta clande ulale kwake 3 days hivi.

2 Likes

kama kuna mat naogopa ni za kayole…I once saw a live kunguni… jeez…

kwa hayo yote …DAWA NI HOT WATER …spray every corner where u think they hiding …kills them apo apo

Kama kuna vitu na hate ni kunguni,inzi,mende na maggots in that order

maji moto does the trick

1 Like

Dawa ya kunguni ni mende. Mende hukula kunguni that’s why you can’t find a bedbug infested house with cockroaches.Dawa ya mende ni kuku.Thank me later

1 Like