Dawa ya musquito ni gani

My neiba ni msee mchafu sana, mamende zina toka kwake mpaka kwangu…dawa fiti ni gani? Manze una amka katikati ya usiku kwenda choo una washa lights unaona ziki scatter kila mahali

Hamia kwako

It’s available in Agrovets around KCPU house in Nairobi and other towns.

Finally caught that fly which was buzzing around my ears…treated it to Akothee’s music
[ATTACH=full]201850[/ATTACH]