Dear ladies

Soon nakua elder villager

Jirani ukitaka kuquote bonyeza reply halafu nenda chini kwenye mwiso wa uzi utaona reply imekaa kwenye sehemu ya kutype, bonyeza tena pale ndio utaona inaleta sehemu ya kuandika

Usikubali kuwa mchezewa bora kuchezea

Kaza buti mkuu, posho ya kijiji ipande:D:D:D:D

Hahahahaha

Ni kuchezeana bwana

:p:p:p:p:p:p:p:p

Familia yako umewaacha wapi jamanii

Wanakuja bana jirani usijali

Ila kuchezeana rahaa utamu acha tuchezewe tu yaani mpaka mwisho

Aiseeeee…

sawa jirani

Mmuite na T basi, bila kumsahau Babu mchepuko wako

Babu Asprin yupo huku mbona

Mbona simuoni?

PM siijui huku, wamenifukuzia mzigua wangu

Ipo my dear itafute uje tupige story

Tunakuona mzeiya

Hahahaaaaa

haha mwisho wa siku mnazifungaga…subiri wasiojulikana wavamie huku ukimbizini:D