Debut : How I found myself robbing a matatu.

Kwerra kabisa!!! Tutakuwekea summary basi…

1 Like

Kama NV wote wangeingingia hivi … Good hekaya!

6 Likes

Part 2 icome.

Nice, hiyo kiti hujaearn space ya kuiweka , maliza hekaya kwanza

5 Likes

Ati Otis? Did you mean Kamau?

Hekaya timam except for that small issue of names.

1 Like

Elder handle yako ni gani?

1 Like

Nice!

Shait!

halafu

Swafi

Hekaya timam

Swadakta kaka brasa!

Ulishukaa aje kwa gari mulikuwo munaibiwaa…noma sana kwanza ukiambia polisi halafu uandikishe statement

Fungua thread utuchapie hekaya
Kiti isikose pia:D:D:D

Enzi za simu ya jamii…damn

Iko sawa sawa. Timamu

Hehehe. Utaacha kumisuse Chevy.

Hekaya smart.

1 Like

Swafi

1 Like

Haiya when are you continuing?

Part 2 ikam teke