Decasa River Road

[ATTACH=full]344051[/ATTACH]

:D:D

CSI

Talker apewe kikombe… Tuko Decasa next week kuosha rungu.

Alafu ujikute umenaswa na camera siri, documentary itolewe, then uone mwanahabari akisema “…ambapo tutakuonyesha hali halisi ilivyo, lakini kabla kuendelea na taarifa hizi, tungelipenda kukuonya kuwa baadhi ya picha hazitakuwa za kuridhisha… ni mauti mchana…”

Hio circuit ya River Road-Ngariama Road-Duruma Road is a no go zone for The Enigma.

Kuna jamaa hupeleka news huko Kenyan post walai. Hata mimi nishaijipata nimeanikwa huko walai.

Hawana contents? Site itakufa soon

Ni kazi ya @Mzee Mashavu

Una operate circuit gani boss?

:wink:

Hahaha… Buda boss tuko na KOFIA na MASK. Deal done.

Kenya Post bloggers upate content hapa Ktalk … @admin chagamkia hawa wasee for traffic

Nilipata hekaya yangu nilileta ktalk huko

[ATTACH=full]344365[/ATTACH]

1500 for kila kitu, hio deal iko sawa