@Deejay_Rudeboy live on 98.4 Capital Fm

Kwani Wewe hutaki Kuwa incognito? :eek::eek::eek:…ama wewe ni rudeboy Don’t give a fuck huh! Mimi nataka tu 24 Hours By Teeflii…tafasari!

Unichapie Red lights by Tiesto

Unichapie Red lights by Tiesto

Hio ni ile nilisikia inaitwa wambui na nambo wa kanambo?

nichezee Thika Ruiru ya Djungle

How many wanna bet dis nigga’s inbox was chaotic after this post? Everybody wanna be his friend now LOL

:rolleyes: you included

make sure umechezea manki ile wimbo ya ndizi

2 Likes

sweet banana ya nyambanee

I will do that kabisa

Really sorry man, iv not been really active here, bt il make a point of being active

6

6 am to 10 am, old school stuff kama new jack soul, rnb n hiphop. Pia kenyan oldschool. I think the moderator ameiweka fiti sasa

Hehe i will get the recording and post the link here

Yes mzee mzima niambie

Wat did you do to him

Preach brother

Good stuff hiyo iko kwa playlist

Watu wanapenda masalamu kama waluhya hapa.

1 Like

Dj rudeboy ,pamba ameamuka anangoja salamu sangu sikiendea lola ,asande omwami.

1 Like

By the way salimia uncle yangu ako huko Murang’a , ujumbe ni m-pesa bado iko na delay lakini ikirudi nita msort , usisahau hiyo bana, alafu pia EX wangu anaitwa njambi I dedicate sugar cane by Shaggy (najua sio oldskul) lakini cheza ama upigwe mstari :smiley: