Diamond Platnum akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa rais wa Russia

Heheh

Acha wivu na tuzo za wenzako wewe.

Hapo Ktk SUMAKU unamaanisha?

Hivi Si ameperform lkn?

Hapana mkuu hajafanya hivyo, tulikuanae hapa hapa nchini

So zile story zilikuwa kick?

Ma-KIK na mauzushi ya vijana wetu mzee alafu wakiumwa waanze kuomba msaada michango ya kwenda India kutibiwa

Ngoja siku ya fainali ya kombe la dunia ifike ndiyo tuanze kumnanga

Mwakyembe alishamkabidhi bendera ya bongo

https://www.fifa.com/worldcup/news/robbie-williams-aida-garifullina-and-ronaldo-to-brighten-up-2018-fifa-world-cup-

Hivi fainali tayari?

Fainali zimeshafunguliwa na zipo ongoing. Opening ndiyo kila kitu, hakunaga sherehe za kufunga mashindano hayo bali ufunguzi

Weka akiba ya maneno pia

Taarifa ilisema atatumbuiza kwenye ufunguzi wa fainali za kimbe la dunia, siyo ufungaji.

Sio World Cup, ni Wedikap.