Did he just say that?

https://www.youtube.com/watch?v=uUGFhVWPOFs

https://www.youtube.com/watch?v=wA76fwh8F-8

https://www.youtube.com/watch?v=kiDei8qXKNE

1 Like

Unapo sema “bangi iwe huru”, unaashiria kuwa kuna mtu au watu fulani ambao wameitia bangi kizuizini. Hilo si sahihi kabisa. Sheria zimeharamisha bangi. Kinyume cha kuharamisha ni kuhalalisha.

“Bangi ihalalishwe” ndilo tamko sahihi.