Dikteta na juhudi zake za kutufunga midomo Watanzania

Ndo hivyo Shuniel

Kwa utaratibu huo… nchi nzima ni wafungwa watarajiwa… tunaosubiriwa kuingizwa magerezani tu…

Hii ingefaa kwa wale wenye page za biashara siyo kwa mtu yoyote… tatizo hawashaauriki… yakiwafika shingoni ili wasionekane wajinga wamekosea ndiyo wanakuja na makanusho…

Cc: @Mahondaw

Umma uliowekwa gizani katika kupashana habari muhimu za kuhusu nchi yetu kwa hofu kubwa ya kujua maovu na udhalimu wao mbali mbali utazidi kujulikana kwa Watanzania wengi. Dhalimu na MACCM ni janga kubwa la Taifa na adui mkubwa wa Watanzania kuliko adui mwingine yeyote ule.

Hapo facebook, insta na youtube hazitakuwa the same tena. Hata JF ikirudi haitakuwa ‘venye’ ilikuwa. Tutulie hapa tutengeneze pawe home. Ugenini kwenye uhuru ni bora kuliko nyumbani kwenye misukosuko. Tu adapt tu.
Nasikia huku huwa hawapiki chips Zege. Ngoja nikafungue kibanda kwaajili ya wanaume wa Dar nianze kupiga mpunga ugenini.

Hivi Wakuu dikteta hajazuka humu? Nauliza tu.

Kwa hiyo Mkuu ni Video Clips tu au taarifa yoyote, eg: wew ulivyopost hii taarifa inabidi usajiliwe au.??

Ukifika uchaguzi wa 2020 zile mambo za kuiba mabox anataka wazipige silence hahaha ngastuka machale kun’desa

Swali zuri sana hili Mkuu. Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza hili swali je ni video tu? Uko sawa nilichokifanya hapa ni kutoa taarifa kwa umma wa Watanzania wakati sijajisajili kule kwa wanoko wa TRCA. Hivyo bila shaka nimevunja sheria zao.

Umeona eeh! Ukichukua video ya MACCM wakipiga mapanga Watanzania au kukimbia na mabox ya kura ili wakashindilie kura zao fake ole wako imekula kwako kama utaipost video hiyo mtandaoni maana ni faini ya milioni 5 na lupango miaka mitatu na kazi ngumu.

Huu ujinga mbona umevuka mipaka…

Ina maana nikipost clip ya Jiwe akiwa anazingua vyop vya shule ya msingi, ni kosa??

Sijawahi kuona Rais mjinga na mpumbavu kama Jiwe.

Naam ni kosa hilo Mkuu kama hujajisajili kule kwa wanoko wa TCRA. Ni upumbavu wa hali ya juu Mkuu. Sijui hawa wahuni wanaipeleka wapi nchi!?

Tunanyamazishwa kwa lazima. Ila kituko ni ukituma video za kawaida. Hakuna atayekusumbua. Ukituma zile wanaita za uchochezi hapo ndo sheria itafanya kaz.

Ukipost hii hutaguswa…ole wako upost shoo akisema kitu

Dictator huku hawesmek, so usihofu

Kama Hii ni uchochezi Mkuu maana hii kauli ya dhalimu na matendo yake vimesigana kama tofauti ya usiku na mchana. Ni udikteta tu tena uliokithiri mbele kwa mbele.

https://www.youtube.com/watch?v=Gp5VsMqAz7M

Huyu Magfool ni doctor ama anatumia mamlaka yake kujitwika titles?

Doctor uchwara Mkuu.

Mambo ya mfalme anamasikio kama punda yanatimia

Kwa hiyo anataka apostiwe yeye tu.

ID fake zitafanya kazi kama kawaida, hawezi kupambana na Digital hata kidogo

ID fake zitamkosesha usingizi aisee

Aendelee na ujinga wake akichika ataacha